ntmgenesis
Senior Member
- Apr 22, 2010
- 167
- 30
Kama nilivyo dokeza hapo kwenye heading yangu ni kwamba natafuta mtu ambaye yuko serius and committed ili tuweze kufanya naye kilimo cha biashara (agribusiness); tutaanza na kilimo cha mazao yanye kutoka haraka na yenye faida ili tuweze kutengeneza mtaji wa kufanya kilimo kikubwa na kama tukianza mapema by Dec 2014 tutakuwa tunajiandaa na large scale farming.
Shamaba lipo ni kubwa nguvu yetu tu mashine ndogo nchi tatu ya kumwagilia na jembe la kukokotwa na ng'ombe kule wakulima na ng'ombe wanapatikana.
Mwenye kuhitaji please tuwasiliane through this email ntmgenesis@yahoo.com
Pia nahita mawazo wadau wana JF ardhi ya kule ina lutuba ya kutosha na hali ya hewa ni conducive mazao mengi yanastawi hata tumbaku .