Natafuta mtu tuungane tufanye biashara ya matunda

Shebby Pallah

Member
Joined
May 1, 2017
Posts
29
Reaction score
17
Mimi nipo Mbagala natafuta mtu tushirikiane tufanye biashara ya matunda. Tunayaweka kwenye package nzuri pamoja kutengeneza juisi za matunda. Kama upo interested ni-PM au Whatsapp 0658 495 324.

Karibuni.
 
Mimi nipo mbagala natafuta mtu tushirikiane tufanye biashara matunda tunayaweka kwenye package nzuri pamoja kutengeneza juisi za matunda kama upo interested nipm au whatsapp 0658495324

Karibuni
Nakushauri uanze mwenyewe kwani biashara ya matunda ni ndogo sana kufanya kwa kushirikiana na mtu, ila ninachokushauri kila kazi inahitaji ujuzi hivyo kabla ya kuanza tafuta mtu akupe muongozo namna ya kununua, kauandaa pamoja na kuhifadhi.

Pia kama hutojali mim nakushauri ufungue genge litakufisha unapopataka ila mentor ni muhimu kujituma pia kwa maana ya kufanya kazi kwa bidii vijana wa kichaga wanafanya sana hizi biashara kama yupo ambaye unamfahamu muombe ushauri atakusaidia.
 
Wewe una nini na unakwamishwa na nini hadi umtafute mtu wa kuungana naye? Yaani mtu aje muungane tu from nowhere?
 
Tatizo hamjaliona,kama sikosei anataka mwekezaji,yaani utoe capital,yeye atoe manpower
 
Tatizo pa kuipata hiyo 20,000/= sasa,kwa wengine ni ishu,atapiga vibarua tuseme perday 5000,hapo akila akitoa nauli lini anabaki na hela ya kudunduliza afikishe 20000?
 
Mbagala ipi
Mbagala nayoijua mm matunda yamejaa barabarani labda kam una wazo la tofaut ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…