natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi jamani

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
[h=6]jamani ee,nimepangwa kituo cha kazi ya ualimu ileje mbea,afu mie spataki,kama kuna anaedhani anaweza akafanya kazi kule tubadilishane basi wandugu.[/h]
 
Mie nimepangwa Tandahimba, naomba tubadilishane nisogee karibu na mchuchu manake yeye kapangwa Makongolosi
 
mkuu tandahmba ni noma? Watoto wanaongea kimakonde darasan mimi nlkuwa huko ktk field ya mwaka wa kwanza, ntajie shule ulyopangiwa kwa pm nkupe mazngra yake
 
jamani ee,nimepangwa kituo cha kazi ya ualimu ileje mbea,afu mie spataki,kama kuna anaedhani anaweza akafanya kazi kule tubadilishane basi wandugu.
Kwa nini hutaki huko Ileje? nakushauri uende tu kwa sababu maisha ni popote. Kikubwa unachotakiwa kikufanya ni kwanza kutochukia mazingira na ukifanikiwa katika hilo utaziona opportuniyies kibao. Kuna watu ambao zamani walikuwa wakikataa kuhamishiwa mikoa ya kusini, baadhi walikubali kwenda. Hivi leo, waler waliokwenda wameji-establish huko kiasi kuwa hawana kabisa wazo la kuhamia sehemu nyingine
 
[h=6]jamani ee,nimepangwa kituo cha kazi ya ualimu ileje mbea,afu mie spataki,kama kuna anaedhani anaweza akafanya kazi kule tubadilishane basi wandugu.[/h]

Tubadilishane, njoo Rorya mi nije Ileje.
 
Kwa nini hutaki huko Ileje? nakushauri uende tu kwa sababu maisha ni popote. Kikubwa unachotakiwa kikufanya ni kwanza kutochukia mazingira na ukifanikiwa katika hilo utaziona opportuniyies kibao. Kuna watu ambao zamani walikuwa wakikataa kuhamishiwa mikoa ya kusini, baadhi walikubali kwenda. Hivi leo, waler waliokwenda wameji-establish huko kiasi kuwa hawana kabisa wazo la kuhamia sehemu nyingine

tatizo ni swala la wazazi,manake wanahitaji uangalizi wangu,so naangalia eneo la karibu na mwanza
 
mkuu tandahmba ni noma? Watoto wanaongea kimakonde darasan mimi nlkuwa huko ktk field ya mwaka wa kwanza, ntajie shule ulyopangiwa kwa pm nkupe mazngra yake

tandahimba huko mtwara sidhani ndugu
 
kwa mkoa wa mara hapana ndugu yangu make huko nasikia hata ukigongwa na baiskeli wewe ndo wa kuomba msamaha vinginevyo ni mapanga,naogopa kufa kabla sijaanza kazi

Ha ha haaaa...!
 
Kanuni na taratibu za ajira zinaelekeza kuwa unaweza kufanya kazi eneo lolote Tanzania. Hiyo tabia ya kupenda kukaa mijini tu haifai, kuwa tayari kuishi mazingira yoyote yale, ili siku ukiwa Mwakilishi wa Jimbo lako ukae kijijini kwenu.
 
kwa mkoa wa mara hapana ndugu yangu make huko nasikia hata ukigongwa na baiskeli wewe ndo wa kuomba msamaha vinginevyo ni mapanga,naogopa kufa kabla sijaanza kazi

Eee, hii kali huo mkoa unatakiwa upakane na Al-Shaabab.
 
Back
Top Bottom