natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi jamani

ACHENI UPUZI NENDENI KWENYE VITUO VYENU ni amri c ombi.
 
Mwambieni huyo me hata kwa vp kusini sihami, a lot of opportunities.
 
ACHENI UPUZI NENDENI KWENYE VITUO VYENU ni amri c ombi.

Kweli utumishi wa umma unatatzo la kuongozwa na kuwa na washauri wa kijeshi kama huyu kilaza,cheo chako huko jeshini mnaoishi kwa amri ni nini kamanda?kimsingi wanajeshi mna psycological demages
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…