Natafuta mtu wa kufanya data analysis for SPSS programme.

Natafuta mtu wa kufanya data analysis for SPSS programme.

Remmy

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2009
Posts
4,701
Reaction score
1,803
Tafadhali, anatafutwa mtu toka Dodoma wa kufanyia data analysis. Nitwangie kwa maelewano 0766 595909. urgent.
 
Tafadhali, anatafutwa mtu toka Dodoma wa kufanyia data analysis. Nitwangie kwa maelewano 0766 595909. urgent.

Hapo kenye bold na red ndo umeniondoa kwenye list.
 
Hi namomba kazi hiyo nipo Dar Lakininwith the net naweza fanya niikakutumia nawe ukanilipa. Ni PM
 
Tafadhali, anatafutwa mtu toka Dodoma wa kufanyia data analysis. Nitwangie kwa maelewano 0766 595909. urgent.
Internet inaweza tumika kufanya hiyo kazi yako japo anaeifanya ayupo Dodoma!why dodoma?
 
Internet inaweza tumika kufanya hiyo kazi yako japo anaeifanya ayupo Dodoma!why dodoma?

Niko dodoma, labda niko nyuma nina dodoso, nikafikiri mpaka nizilete physically.
 
Nipo DAR

PM

kwa dodoma piga namba hii 0718 171547 jamaa yuko UDOM
 
mimi ni researcher na nipo naratibu research hapa dar es salaam ktk na nimefanya tafiti nyingi sana. Hua natuima software package mbalimbali kufanya analysis kama SPSS, NCSS, STATA na nyingine nyingi. Nijulishe kama bado hujapata mtu serious wakukusaidia ili nikusaidie.
 
Thanks wote kwa kujitokeza kwenu. Nitawatafuta nione yupi anafaa na kwa bei poa.
 
Pale UDOM kuna jamaaa(Ni mfanyakazi wa UDOM kitengo cha computer) anafanya hiyo kazi ni mzur sana kwa analysisi mimi nimeshampatia kazi zangu 3 amenifanyia vizuri balaaaaaaaaaaaaa Nitkupatia # yake via PM
 
Back
Top Bottom