Natafuta mtu wa kufanya nae biashara kwa aliyeko NGARA KAGERA

Natafuta mtu wa kufanya nae biashara kwa aliyeko NGARA KAGERA

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,486
Reaction score
51,156
Habari,
natafuta mtu aliyeko Kagera ambaye naweza kufanya nae biashara ya ndizi mbichi,kuleta singida,karibu PM kama upo tayari tufanye kazi.
 
Habari,
natafuta mtu aliyeko Kagera ambaye naweza kufanya nae biashara ya ndizi mbichi,kuleta singida,karibu PM kama upo tayari tufanye kazi.
Ebu tuongee vizuri mimi kwetu huko kagera tena karagwe ndizi kuja singida zinaweza pitia ngara(njia panda), au kupitia chato kwa njia ya geita nimzoefu wa huko.
 
Back
Top Bottom