Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Sep 19, 2014 #1 Habari, natafuta mtu aliyeko Kagera ambaye naweza kufanya nae biashara ya ndizi mbichi,kuleta singida,karibu PM kama upo tayari tufanye kazi.
Habari, natafuta mtu aliyeko Kagera ambaye naweza kufanya nae biashara ya ndizi mbichi,kuleta singida,karibu PM kama upo tayari tufanye kazi.
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,689 Oct 11, 2016 #2 Hornet said: Habari, natafuta mtu aliyeko Kagera ambaye naweza kufanya nae biashara ya ndizi mbichi,kuleta singida,karibu PM kama upo tayari tufanye kazi. Click to expand... Ebu tuongee vizuri mimi kwetu huko kagera tena karagwe ndizi kuja singida zinaweza pitia ngara(njia panda), au kupitia chato kwa njia ya geita nimzoefu wa huko.
Hornet said: Habari, natafuta mtu aliyeko Kagera ambaye naweza kufanya nae biashara ya ndizi mbichi,kuleta singida,karibu PM kama upo tayari tufanye kazi. Click to expand... Ebu tuongee vizuri mimi kwetu huko kagera tena karagwe ndizi kuja singida zinaweza pitia ngara(njia panda), au kupitia chato kwa njia ya geita nimzoefu wa huko.
N Ninaweza JF-Expert Member Joined Dec 14, 2010 Posts 13,095 Reaction score 8,284 Oct 11, 2016 #3 Hornet said: Habari, natafuta mtu aliyeko Kagera ambaye naweza kufanya nae biashara ya ndizi mbichi,kuleta singida,karibu PM kama upo tayari tufanye kazi. Click to expand... Mwadelahiiza??
Hornet said: Habari, natafuta mtu aliyeko Kagera ambaye naweza kufanya nae biashara ya ndizi mbichi,kuleta singida,karibu PM kama upo tayari tufanye kazi. Click to expand... Mwadelahiiza??
ladslaus vicent Member Joined Aug 14, 2015 Posts 18 Reaction score 2 Oct 11, 2016 #4 0682 665574 nicheki nipo karagwe kagera twaweza Fanya iyo kazi