Natafuta mtu wa kufanya nae biashara Mozambique

waukweli100

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
193
Reaction score
24
natafuta mtu wa kufanya nae biashara nchini mozambique,nina idea ya biashara ila tatizo ni mtaji,nina idea ya biashara kwa bidhaa zifuatazo,nguo za kiume na za kike pamoja na za watoto,viatu vya kike na vya kiume,wax,simu,nk,au kama kuna biashara ulionayo sijaiandika hapo unaweza kuniambia then nitakwambia kama inasoko tufanye kazi,kwa wale mlioko nje ya tz na mna bidhaa kama izo kama mtaniamini basi tutafanya kazi,na hata mliopo tz pia inawahusu kwani ni moja ya kupanua wigo wa biashara,msikae na mamizigo kibao stoo wakati kuna sehemu zinahitaji bidhaa,atakaeniamini namba yangu ni 0718375766..
 
hata ukitaka tukafungue hoteni inalipa sana kwani wanapenda sn vyakula vya kitanzania.
 
nipo dar namba yangu hiyo hapo kwa mawasiliano.
 
natafuta mtu wa kufanya nae biashara nchini mozambique,nina idea ya biashara nchini mozambique ila tatizo ni mtaji,idea ya biashara niliyonayo inahusu bidhaa zifuatazo,nguo za kike na kiume,pia za watoto,wax,viatu vya kike na kiume,simu,nk kama kuna bidhaa ulizonazo sijaziorodhesha unaweza niuza kama zinasoko nitakwambia then tutafanya kazi kama hutojali,kwa wa tz walioko nje na wana bidhaa kama hizo alioko tayari na ataniamini basi tufanye biashara,na walioko tz pia inawahusu ni kama unapanua wigo wa biashara yako,nipo tayar kufanya biashara na yeyote atakaependa kupanua biashara yake,alietayari namba yangu ni 0718375766.
 
nimesahau 2 kuviandika ila hivyo ni ishu zaidi chart kwa number hiyo hapo juu
 
tuchart kwa number hiyo hapo juu hivyo ni ishu sn mozambique
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…