Natafuta mtu wa kufanya nae biashara

eddy king

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2016
Posts
560
Reaction score
1,220
Habari zenu waungwana,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta mtu yeyote aliye siriaz ambaye tunaweza tukafanya nae biashara. Namaanisha mtu ambaye ana mradi au biashara yeyote halali ambayo anaona inamlipa/itamlipa ila hana pesa ya kutosha kuifanya au kuindesha aniPM tufanye biashara.
 
Find me pls,0765880111.
 
Mhhhhh,ngoja waje maana ni wengi mpaka utawachoka!!
 
Mpaka tuwanase kwanza wale waliotapeli watu pesa zao ndio tuanze haya mambo.
 
Njoo pm mkuu
 
Nipo hapa,karibu Mwanza
 
Nitafute kwenye :0713-039875 NB: Mimi ni mtaalamu wa miradi ya Software
 
Hahaha ha ha ha eti mto ngono, mara katerero iiiiiiiiiiiii
 
Nitafute kwa namba 0715381371 tuone itakavyokuwa
 
Mkuu weka namba yako hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…