Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya Mchele

ramadhani kimweri

Senior Member
Joined
Apr 22, 2016
Posts
181
Reaction score
179
Asalamu alykum mandugu,

Mimi ni machinga nilikuwa nauza mchele Moshi, barabara ya manyema, lakin baada ya hili jambo wa kufukuzwa mambo yameenda vibaya na biashara ikaharibika kabisa, nimeamua kujiongeza nimekuja arusha kucheki ramani nimeamua nianze biashara tena ya mchele kwa arusha soko jipya la wamachinga kilombero, lakini mtaji wangu umeporomoka sasa natafuta mtu ambaye ninaweza kufanya naye biashara ninauminifu wa hali ya juu kabisa njoo uone sehemu ninayifanyia kazi kibanda ni changu kabisa.

Naombeni mwenye kuweza aniletee mzigo niuze nimpe pesa yake tufanye biashara kwa namna hiyo.

Jamani naombeni kwa hilo nitashukuru sana na utakuwa nimesaidika sana, pia nina familia ya mke na mtoto mmoja, hivyo siwezi kufanya aina yeyote ya udanganyifu.
 
MUNGU AKUSIMAMIE KATIKA HILO MKUU.
 
Back
Top Bottom