Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya stationery

SUYA

Senior Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
131
Reaction score
21
Kutokana na uzoefu wangu wa muda mrefu na uwezo/kuifahamu hii biashara natafuta mtu mwaminifu wa ku share kuingia ubia na kufanya hii biashara kwa ufanisi wa hali ya juu.kwani tatizo langu ni mtaji mdogo.
 
Toa maelezo ya kutosha weka details,hiyo stationary unafungua wapi,capital kiasi gani toa maelezo mengi ya kutosha kuweza kumconvice mtu.
 
Nakushauri uanze taaratibu na mtaji wako mdogo. Baadaye unaweza kukopa bank na kuukuza mtaji wako.

Kama partnership, nahofia kuwa baada ya tangazo lako unaweza kupata matapeli.
 
Mkuu bongo hapaaminiki komaa mwenyewe
 
Mkuu kumpata business partners si kazi ndogo na hatafutwi kama tunavyo tafuta wachumba mkuu, inahitajika umakini wa hali ya juu na kuna hints nisha wahi kuziweka humu jinsi ya kumpata patiners mzuri so zitafute
 
Ukomkoa gani na unaplan biashara ifanyikie wap?Mimi pia nina uzoefu tunaweza kusaidiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…