Natafuta mtu wa kufanya naye partnership kuzalisha mazao hususan ufuta

goa fk

Member
Joined
Jun 16, 2024
Posts
7
Reaction score
0
Mm mi kijana miaka 30. Nimesomea kilimo na nimkulima pia. Naomba kama kuna mtu ana mashamba hususan ukanda wa pwani kwa ajili aya kilimo na ufugaji, tufanye partnership kwenye uzalishaji wa mazao hususan ufuta.
 
U have knowledge but you lack skills and experience but worry out welcome to private practice my friend.
 
Mm mi kijana miaka 30. Nimesomea kilimo na nimkulima pia. Naomba kama kuna mtu ana mashamba hususan ukanda wa pwani kwa ajili aya kilimo na ufugaji, tufanye partnership kwenye uzalishaji wa mazao hususan ufuta.
Uko vizuri

jamani mliomo humu wenye mashamba kunakostawi ufuta nendeni inbox muongee naye
 
Njoo Kibiti Nina Eka 200.Kazi kwako...Sitakutoza hata huku ya Shamba.
 
Mm mi kijana miaka 30. Nimesomea kilimo na nimkulima pia. Naomba kama kuna mtu ana mashamba hususan ukanda wa pwani kwa ajili aya kilimo na ufugaji, tufanye partnership kwenye uzalishaji wa mazao hususan ufuta.
Una hiyo elimu kiupana Kwa vitendo ya ufuta hasa Kwa shambani ukiachana n theory
 
Chifu naona kama taarifa yako haijakamilika...

Unahitaji huyo mtu mchangiaje, yaani yeye aandae shamba tu vingine vyote wewe au atafute shamba kisha gharama mtoe sawa kwa sawa huku maswala ya kitaalamu yote ukimaliza mwenyewe?

Umeandaa kiasi gani na unahitaji eneo (shamba) liwe maeneo gani maana ufuta Lindi ndiyo zao kuu
 
Back
Top Bottom