MorogoroUpo mkoa gani mkuu.
. Nami nipo kilosa sehemu inaitwa miyombo, kwa huku mashamba yapo ila inahitaji kusafisha maana mengi yana vichaka.Morogoro
U have knowledge but you lack skills and experience but worry out welcome to private practice my friend.
Uko vizuriMm mi kijana miaka 30. Nimesomea kilimo na nimkulima pia. Naomba kama kuna mtu ana mashamba hususan ukanda wa pwani kwa ajili aya kilimo na ufugaji, tufanye partnership kwenye uzalishaji wa mazao hususan ufuta.
Njoo Kibiti Nina Eka 200.Kazi kwako...Sitakutoza hata huku ya Shamba.
Njoo Kibiti Nina Eka 200.Kazi kwako...Sitakutoza hata huku ya Shamba.
Una hiyo elimu kiupana Kwa vitendo ya ufuta hasa Kwa shambani ukiachana n theoryMm mi kijana miaka 30. Nimesomea kilimo na nimkulima pia. Naomba kama kuna mtu ana mashamba hususan ukanda wa pwani kwa ajili aya kilimo na ufugaji, tufanye partnership kwenye uzalishaji wa mazao hususan ufuta.
Una hiyo elimu kiupana Kwa vitendo ya ufuta hasa Kwa shambani ukiachana n theory