NATAFUTA MTU WA KUMTUNZA MGONJWA MWANAUME..AJUE NA KUPIKA -150" 000 KWA MWEZI

Upande wa caretaker, Umejiandaaje na protective gear ya kumlinda huyo caretaker dhidi ya magonjwa ambukizi? Gloves, antiseptics, masks?

Upande wa mgonjwa, sipendi kuuliza sana anaugua nini. Its not appropriate. Ila ana hali gani? Anaweza kujilisha? Anatambua watu? Je, ana uwezo wa ku control shughuli zake mfano za kujisaidia? Anaweza kutembea?

Je, hapo nyumbani kutakuwa na mtu mwingine anaweza ku supervise uangaliaji wa huyu mgonjwa, dawa zake, mazoezi kama yanahitajika etc

Caretaker atakuwa na jinsia gani? This is very important too.

Am asking out of concern so you can be better prepared ukishampata huyo caretaker.

All the best Mkuu.
 
NJOOO TUTAKUPIMA KWANZA AFYA KABLA YA KUANGALIA TUNAKUSAIDIAJE NA MAGONJWA AMBUKIZI
 
Ww hautafuti mtu wa kumlea mgonjwa wako bali unatafuta housegirl/houseboy wa kumsafisha mgonjwa wako tuu.

Ila km unahitaji mtaalam huwez mpata kwa hiyo bei, alaf eti unaleta stori za tv bure[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26], hivi unajua karaha za kutunza wagonjwa ambao ni terminaly ill ww? Hauko serious kabsa.

Kajipange Upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…