kubebana ndo nini..??.hahah
Kubebana ni ile hali ya kulala wawili hii inafanyika sana udsm kwa sababu ya uhaba wa hosteli kwahyo ni normal issues mana first year tu ndo wanapata rooms na ma finalist wachache
dah kumbe!!! nilikua silijui hili... hahhhaha
Sasa umefahamu mzima weye
Kwanza hongera kwenu vijana mliochaguliwa UDSM mlimani campas. Ila ninachopenda kuwaambia UDSM ina mazingira mazuri sn ya kusoma lakini sio kupiga usingizi kwani kubebana ni jambo la kawaida kwaiyo naomba atakaepata room main campas anibebe. Mimi ni kijana wa kiume nasoma PSPA mwaka wapili.
mbona me najuaga PSPA ni watu wenye akili na wapenzi wa tafakuri tunduizi....imekuaje sasa wewe.....acha woga wa maisha ww....embu nunua kitanda kwa first year au kapange....mambo gani hayo ya kubebeana....vitanda vyenyewe vikwapi vya kufanya hvo.....huko ni kuinvite tabia za kibasha......Kwanza hongera kwenu vijana mliochaguliwa UDSM mlimani campas. Ila ninachopenda kuwaambia UDSM ina mazingira mazuri sn ya kusoma lakini sio kupiga usingizi kwani kubebana ni jambo la kawaida kwaiyo naomba atakaepata room main campas anibebe. Mimi ni kijana wa kiume nasoma PSPA mwaka wapili.