Natafuta mtu wa kunifundisha kifaransa.

Feiaidan

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
237
Reaction score
129
Naomba mtu mwenye nafasi ya kunifundisha French, ninawiwa sana kujifunza hii lugha.
 
Mimi hi mwalimu Wa lugha 3 ikiwemo kifaranza ww uko wapi
 
Mimi hi mwalimu Wa lugha 3 ikiwemo kifaranza ww uko wapi

Mimi naishi Dar, ila kwa sasa niko mkoani(Singida) kwa muda mfupi, lakini mwishoni mwa mwa december ntarudi Dar.
Kwani uko wapi ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…