Kigezo cha nne kitafunga wengi, au kiondoe! Kina babu wengi ambao ni handsome wangejitokeza wengi.Nilikuwa na mpenzi wangu tumekaa miaka miwili ila sasa tumeshindwana.
Natafuta mtu wa kuniweka kimada/nyumba ndogo na awe na sifa zifuatazo
1. Handsome
2. Awe na uwezo wa kawaida - ka gari siyo mbaya
3. Awe anajua mapenzi ya aina zote outward and inward
4. Asiwe na familia kubwa sana, mtoti mmoja
Ambaye yuko interested ani PM fasta.
NE
Khaaaa. . . kumbe uko hai NE?
Karibu tuomboleze jamvini.
Nilikuwa na mpenzi wangu tumekaa miaka miwili ila sasa tumeshindwana.
Natafuta mtu wa kuniweka kimada/nyumba ndogo na awe na sifa zifuatazo
1. Handsome
2. Awe na uwezo wa kawaida - ka gari siyo mbaya
3. Awe anajua mapenzi ya aina zote outward and inward
4. Asiwe na familia kubwa sana, mtoti mmoja
Ambaye yuko interested ani PM fasta.
NE
hiyo outward na inward uitakayo ni nyuma na mbele au mbele tu?
wewe unafaa.