Natafuta mtu wa kushare nae ofisi

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Mimi ni fundi simu mwenye uwezo mkubwa katika kazi hii ila sina ofisi maalumu so ninatafuta mtu mwenye ofisi iliyo rasmi niweze kujiunga nae katika gharama lakini pia tutagawana hata faida.Kwa alietayari anitafute kwa 0763969066.....au niachie namba yako hapa nikutafute mm. Hata kama unafanya shughuli nyngn kabisa ili mradi una ofisi hicho ndo niachojali
 

Nitakucheck mkuu
 
Uko wap? Na unapendelea maeneo gan?
 
Why mgawane faida??sema mtatoaa nusu nusu kodi zinazotakiwa na sio mtahawana faida....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…