Kushirikiana kwenye nini tena ..., wewe unahitaji mtu wa kutoa cash peke yake ili baada ya miezi miwili umpe 3m au unataka mtu wa kutoa hio cash as well as kuhusika kwenye mambo mengine pindi yakihitajika ?mimi muhitimu wa chuo kikuu nimeoa nina shughuli zangu nimeweza kushawishi taasisi fulani kuhusu documentary film fulani nimeshagharamia zaidi ya milioni tatu kama uko inerested njoo wekeza m 1.5 upate m1.5 kama faida ndani ya miezi miwili tutashirikiana wote mwanzo mpaka mwisho na taratibu zote za kisheria kufuatwa
akipenda tuendelee sawa kama yuko interested ningeshukuru tutashirikiana mambo mengi tu kwa kiasi hicho kazi itakamilika naweza kuipata ila inaweza kuchelewa ikawa off timing ni pm au nitumie sms muda wowote kwenye namba 0656868068 kupiga simu ni muda wa kazi tuKushirikiana kwenye nini tena ..., wewe unahitaji mtu wa kutoa cash peke yake ili baada ya miezi miwili umpe 3m au unataka mtu wa kutoa hio cash as well as kuhusika kwenye mambo mengine pindi yakihitajika ?