Natafuta mtu wa kushirikiana nae kwenye biashara (business partner) part time business partner

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,108
Reaction score
1,397
Habari Waktu

Nimekuja kwenu natafuta business partner ambae atawezesha kifedha katika wazo langu la biashara.

Biashara ni ya viatu vya kike

Nina eneo makumbusho ambalo nimeshajenga banda tayari bado kulifanyia finishing tu hivyo eneo la biashara ni makumbusho stand

Nahitaji mtu atakayewezesha 2,2000,000/=
Ya mzigo kwa miaka miwili nitakuwa nampa 5000 kila siku, yaani yeye anatoa pesa mm nitakuwa nampa yeye 5000 kila siku kwa miaka miwili

Kwa wiki ni 35,000 ×52=1,820,000×2=3,640,000 kwa hiyo ndani ya miaka miwili atakuwa apata hicho kiasi

Kama uko dsm niko tayari kukutana kwa makibaliano

Natanguliza shukrani karibu kwa ushauri poa

Note biashara nimeanza mdogo mdogo
 
Je kama atatoa hela na mfanye wote biashara apo
 
Je kama atatoa hela na mfanye wote biashara apo
Kama ni kukaa wote gharama za uendeshaji zitakuwa kubwa
Akikaa mmoja chai asubuhi 1500 tukikaa wawili 3000
Chakula cha mchana 2000 wawili 4000 hujapiga nauli hapo
 
Fanya 10,000 daily kwa miezi 15, kila mwezi unipe 300,000 tu

ile miezi ya siku 31,ile siku 1 tia mfukoni,kwangu daily nipate 10k tu

ikikupendeza ukaona unaweza,basi karibu PM if not keep pushing master.
 
Boss ikupendeza nipe 1,100,000 kwa 5000 daily miezi 15

Mzunguko wa biashara kukupa 10,000 kwa siku naweza nisiweze mkuu
 
Reactions: amu
Fanya 10,000 daily kwa miezi 15, kila mwezi unipe 300,000 tu

ile miezi ya siku 31,ile siku 1 tia mfukoni,kwangu daily nipate 10k tu

ikikupendeza ukaona unaweza,basi karibu PM if not keep pushing master.
Nimekucheki pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…