Hapo sawa. Naomba niwe shambanoi wakoSio cha kutegemea mvua ni mechanized agriculture [emoji1787]
Morogoro sehem gani .....Habari ya wakati huu wapendwa
Mimi ni kijana mtanzania ninaishi mkoa wa Morogoro.
Nilikuwa natafuta mtu wa kushirikiana naye ili kuwekeza kwenye kilimo.
Kama mjuavyo kilimo ni kipana sana na kinahusisha mambo mengi sana. Kama atatokea mtu amevutiwa na wazo langu anaweza kuja PM nikamueleza vizuri.
Kwa kujenga uaminifu njoo hata na mwanasheria haina shida ila vigezo na masharti kuzingatiwa.