Natafuta mtu wakujenga frame ya biashara katika eneo langu

Eneo sio langu peke yangu ni la familia tumerithi na mimi ndio msimamizi wa mirathi, tumegawana vipande vya ardhi ili kila mtu apate sehemu ya kumuingizia kipato.
Nyaraka muhimu zote zipo.


Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wacheki hao jamaa
Skaba scuba wape mchongo huo fasta
 
Ukiona kiwanja kiko eneo uzuri ila hakuna anayekiulizia jua hicho ni kaa la moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…