Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

Winner22

Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
17
Reaction score
38
Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .

Ahsante.
 
Kuna Imam wa msikitini anatafuta mke wa pili, kama upo tayari nikuoze.

Tena na kazi atakupatia hapohapo msikitini.

Mcha Mungu, halewi, havuti sigara, yeye ni mkulima na Imam wa msikitini. Nikuunganishie Mkuranga hiyo, tena utakuwa jirani yangu, maana yeye ndiyo Imam wa msikitini kwetu hapa.
 
Mimi hapa nipo Shinyanga nitafute asajiles914@gmail.com kwenye hiyo email
 

Huyo imamu wako hajawaona wanawake wanakuja hapo msikiti anaposalisha.... Akimaliza swala atoke nje fasta aangalie warembo
 
Miaka 36 masharti kibao, Mnapenda wenye vipato vizuri

Wewe ni mzuri??

Wewe unacho hicho kipato kizuri??

Maana utampata wa kufanana na wewe
 
Nani alikuambia nataka kuolewa mke wa pili? Mtafutie ustadhati umpelekee sawa wewe keeee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…