Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

BabyMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2017
Posts
315
Reaction score
511
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
 
Mimi Ni mwanamke,miaka 32, watoto wawili...baba wa watoto tumeachana mda kidogo...sijakata tamaa Wala,nayapenda Maisha kweeli.Nimeajiriwa.Natamani nipate mwanaune ambae Ni HIV POSITIVE Kama Mimi ili tutengeneze familia....upweke unachosha..karibu PM

Kwa kuwa unajiamini. Unaweza kupata ata Negative. Mtangulize Mungu
 
Back
Top Bottom