Nilitaka nijue nimepata nifurahi,like very disappointed nilipokosa maambukiziMbona ulipima sasaπ
Mie nimebakisha miaka miwili ya kuishi. 2027 nitakuwa kwenye makazi yangu ya milelemzabzab pitia huku unaweza ukaokota embe dodo chini ya mnazi
hahhhha mkataba wako upo wazi kabisa kiasi cha kujua mwisho hiyo ni nzuri zaidi mkuuMie nimebakisha miaka miwili ya kuishi. 2027 nitakuwa kwenye makazi yangu ya milele
Nina Imani katika damu yake! Nina Imani katika nguvu zake! Nina Imani katika neema yake!Amina, napokea kwa jina la YESU
BabyMamy mtu mzuri sana wewe mtu poa sana....πππ Mi nakuelewa sanaaaaaa. Upumzike panapostahili.
Amina..I can't wait to praise and worship our Almighty Lord God together with you...be blessedNina Imani katika damu yake! Nina Imani katika nguvu zake! Nina Imani katika neema yake!
Bwana Yesu atakutendea kwa ukarimu sana! Nikikaa sawa, ntakutafutia angalau niwe prayer partiner wako!
Usijali kipenzi wewe ni Bora na WA thamani kuliko unavyodhani
Hii iwe dedication song yangu kwako kipenzi siku ya Leo!Amina..I can't wait to praise and worship our Almighty Lord God together with you...be blessed
Mkuu hivi ni kweli, make unapenda kusema hivi mara kwa mara mwanetu kunani πMie nimebakisha miaka miwili ya kuishi. 2027 nitakuwa kwenye makazi yangu ya milele
Mmh!! Mbona unatutisha sasa,unakuwa kinyume na mada yako au!!! Sio wewe???Njoo nikuambukize mwayaππππππ ngoma sio kitu ya kukukosesha Bebe mzuri
Sawa nakusubiria unipe mrejesho kipenziNgoja nikaupakue chap
Amefanya utani mkuu!Mmh!! Mbona unatutisha sasa,unakuwa kinyume na mada yako au!!! Sio wewe???