luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Hahaha Mangi una vitukoKila la kheri na Mungu akutangulie katika haja ya moyo wako.
Siku nitakayopata ujasiri wa kupima labda ndio siku nitakapokuwa nimeshakupoteza....
Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki huku nikibebwa na greda la Manispaa ya Kinondoni.....
Ndio,Copa cabanaKuna dada mmoja hapa mtaani kwetu by they ni mwajiriwa wa serikali ila ilo figure sasa uwiiiiiiiiiii kwani UKIMWI Shingapi ni bonge la dada mimi leo hii napiga bila shida yoyote ila ndomu muhimu.
Ishi kwa raha zako kuwa na AIDS ni fresh tu.
Amina.I know my dear.... Ila hongera kwa kujitambua.... Sisi wengine tumejipanga kujitambulia kaburini...
Ila ukimkosa huyo umtafutaye, usijali tuko marafiki ambao tunaweza kukupa company kiroho safi kabisa....
Maisha mafupi haya lazima tuishi kwa kupendana, kujaliana, kuheshimiana na kusaidiana
Amen,umejiwekea akiba kwa wema wako.ubarikiwe.Naishi na mjane ambaye alitelekezwa na ndugu za mumewe. Anaishi kwa matumaini na anajielewa sana. Mke na watoto wangu wameikubali hali yake na amekuwa kama sehemu ya familia sasa....
Kwahiyo naongelea uzoefu mamii... Tumemchukua huyu mama akiwa client wa mke wangu... Hivi sasa kapendeza midume inajipendekeza balaa.... Uzuri mama wa watu hajitakii dhambi mpya...Angeshawapanga wengi tu angetaka..
Ila Mungu yu mwema daima
Pole , nakuombea utapataMimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.
Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.
Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV POSITIVE kama Mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.
Karibu PM.
Aisee. omba tu hivohivo ulivoomba kimoyomoyoKuna dada mmoja hapa mtaani kwetu by they ni mwajiriwa wa serikali ila ilo figure sasa uwiiiiiiiiiii kwani UKIMWI Shingapi ni bonge la dada mimi leo hii napiga bila shida yoyote ila ndomu muhimu.
Ishi kwa raha zako kuwa na AIDS ni fresh tu.
Mmh mkuu wew jasiri aisee,Kuna dada mmoja hapa mtaani kwetu by they ni mwajiriwa wa serikali ila ilo figure sasa uwiiiiiiiiiii kwani UKIMWI Shingapi ni bonge la dada mimi leo hii napiga bila shida yoyote ila ndomu muhimu.
Ishi kwa raha zako kuwa na AIDS ni fresh tu.
Sawa cha pekee yako kaburi 😍Aisee. omba tu hivohivo ulivoomba kimoyomoyo
Najizima data afu wadada wa hivi wanajua kupenda sana, hawatuangushi.Mmh mkuu wew jasiri aisee,