Natafuta mume jamani

Status
Not open for further replies.

farijbu

Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
7
Reaction score
5
Jamani Mimi ni msichana Nina miaka 21 natafuta mpenzi ambae anakazi miaka 24_26 awe mrefu kawaida ,mweusi si mweus sana awe anaakili ya kimaisha ili tujenge mahusiano Mimi niko chuo mwaka wa pili mwakani namaliza ko tutachunguzana kwa muda kabla ya ndoa very serious sitaki utani pia kama ni mwanachuo anachukua degree pia haina shida.

Mengine tutaoongea inbox uko aliye serious 0620885762napatikana dar awe mkristo haswaaa ,,,,,,nimeweka no coz sim yangu inasumbua kuingia PM na kutoa comment jamani am serious nilitaka ni m pm kaka mmoja aliweka Uzi wake Borgan kama kuna mtu anaweza kuchukua no angu akamtupia pm anitafute so mbaya
 
Bora wewe umeweka masharti nafuu, kabisa
 
Kuna mwenzako analalamika huko ametendwa,... kuwa makini na watakaokuja. All the best.
 
et dada nasikia watu wanalizana humu kwa mada kama yako hivi uko chuo hakuna mume kweli uliyemuona anasifa kama uzitakazo au hakuna kabisa unayempenda chuo kizima au hata katika mtaa unaoishi ? tatizo la wanawake wengi wakimpenda mwanaume wanataka et ndio mwanaume aje akutongoze unakuta mwanaume mwingine ajui kama unampenda masikini binti wa watu mimi naamini chuoni au mtaani uko wapo uwapendao waambie tu ukweli kuliko kuja huku yani uku kuna actors and actress et nimeskia aya nakutakia kila la kheri
 
Uko chuo alafu hata miaka unaandika myaka kweli??? Kuwa serious basi hakuna atake oa mke muongo muongo na Kanjanja
Inasikitisha sana, hata sheria za kuweka matangazo hazijafuatiliwa, nina wasiwasi na elimu yake ya chuo, na hata akili za maisha, maana katangazo kadogo kama hako kanasumbuwa je ingekuwa katika kuuza bidhaa angeandika nini?!
 
bado ujawa na maamuzi sahihi,fanya ku edit uzi wako toa iyo namba na mtafute kwanza borgan uone kama yatafaa muendeleze mahusiano.

maana unatupa namba huku huku bado wasema tuhakikishe na borgan anaipata
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…