Natafuta Mume kwa anayeishi na VVU itapendeza zaidi

Natafuta Mume kwa anayeishi na VVU itapendeza zaidi

hiv positive living

Senior Member
Joined
Jan 6, 2020
Posts
153
Reaction score
218
Hellow wapendwa ,
Poleni na majukumu ,

Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-45 ,awe mrefu mana mie mrefu na mnene kiasi

Mimi nina 32 yrs, mkristo, sina mtoto, elimu form four ninaishi dar

Ps. Mwenye VVU tu

Karibu PM ama
Email gracefelix.fl@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si tumekatazwa kubaguana lakin...? sas mbna wew unatubagua.. Mi nadhani nafasi itoke kwa wote. Kisha kwa wenye utayali anakaribishwa..

'Kama unanipenda, utanilinda '
 
Karibu babe...naomba uje piem tuyamalize
IMG-20200322-WA0057~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hujakosea ila , ni uchaguzi tu na sio nimebagua hapaana, ni kama vile hutaki mwanamke mweusi si ubaguzi ni uchaguzi wako
Si tumekatazwa kubaguana lakin...? sas mbna wew unatubagua.. Mi nadhani nafasi itoke kwa wote. Kisha kwa wenye utayali anakaribishwa..

'Kama unanipenda, utanilinda '

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom