hiv positive living
Senior Member
- Jan 6, 2020
- 153
- 218
Asante kwa nasaha wacha nirekebishe ,Tunaelekea pazuri kibinadamu. Wewe ni mfano mzuri.Kama wewe ni mgonjwa,lengo liwe aliye mgonjwa.Makosa ya kibinadamu yapo.Kila la kheri.
Si rahisi kama unavyosema , kwani hapa straight nimeeleza lengo ni nn! Naamini mwenye nia thabiti atajitokezakwenye foleni za dawa hamkutani?
au jaribu kuongea na nurse anayewapa dawa, akufanyie mpango. atakuwa na cotancts nyingi sana
Nice mependa confess yko kila la kheriHellow wapendwa ,
Poleni na majukumu ,
Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-45 ,awe mrefu mana mie mrefu na mnene kiasi
Mimi nina 32 yrs, mkristo, sina mtoto, elimu form four ninaishi dar
Ps. Mwenye VVU tu
Karibu PM ama
Email gracefelix.fl@gmail.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kejeli na dharaukwenye foleni za dawa hamkutani?
au jaribu kuongea na nurse anayewapa dawa, akufanyie mpango. atakuwa na cotancts nyingi sana
Si tumekatazwa kubaguana lakin...? sas mbna wew unatubagua.. Mi nadhani nafasi itoke kwa wote. Kisha kwa wenye utayali anakaribishwa..
'Kama unanipenda, utanilinda '
Ya kesho hatuyajui, changamoto yako nzito ,kwangu nyepesi ,kila mmoja na mtizamo uwe hasi ama chanya ,Acha kejeli na dharau