Natafuta mume Mbena au Muhehe

Bwana na akusimamie pia akutendee vilivyo, umpate wa moyo wako aitulize nafsi yako.. wa majeshi afaae atasikia kilio chako na atakupatia njiwa wako Ee mtumishi wa alie hai isikie na uitii sauti yake yeye nae atakutendea yaliyo mema.. bwana wa majeshi na akuongoze uijenge familia salama yenye upendo na amani isiyo na makashkash wala mosukosuko! Bwana na akutie moyo wa subira..

Sema AMEN.
 
Amina
 
Karibu inbox mm Muhehe kabisa.
Nakidhi vigezo vyote ulivyohitaji.
 
Kuna mwagito mmoja alikuwa anatafuta mke sijui akipata. Ila najiuliza umeona nini kwa hayo makabila
 
Reactions: BAK
Nakuombea upate mume mwema wa ndoto zako
 
Kila la heri ujaaliwe umpate wa moyo wako.

Ushauri: masharti yako ya kabila yapo kama umeagizwa na mganga na hutakiwi kuyavunja. Hata hao unaowahitaji wanaweza pata wasiwasi.
Kuna wanaume bora kwenye makabila mengine pia. Usifungwe na ukabila.
 
Reactions: y-n

Kuna kaka fulani jirani anatafuta mke wa sifa zako.Yeye ana watoto watatu ametalikiana na mkewe miaka mitatu iliyopita.
 
Naona umekuwa mhubiri
 

Kila la heri, nenda ukale majungu na unafiki na viburi.
 
Hii I'd new in town sio naniliu ww qwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…