Natafuta mume miaka 40-65

Azeeza

New Member
Joined
Feb 3, 2021
Posts
1
Reaction score
9
NAMAANISHA KABISA.

Hello, natafuta mume miaka 40-65. Awe anayeweza majukumu ya kutunza na kuhudumia mke, familia.

Nicheki WhatsApp 0656-876 084.

Ukiwa huna umri niliotaja usinitafute..watoto mpishe mbali maana hamjui kutunza na kuhudumia mke, familia.
 
Niwahi mbele kusoma commentsπŸ‘©β€πŸ¦ΌπŸ‘©β€πŸ¦ΌπŸ˜„
 
Halafu hiyo pic siyo yako wahivyo walishaolewaπŸ₯³πŸ₯³
 
Piga nyingine saivi ukiwa jikoni unapika maana ndo muda ukiweza nakuja ulipo sio pm
 
Mbona age ya 35 wakubwa mnajipendelea hivyo, hivi yale majimama ya kutafta vibentem sikuhizi hayapo etπŸ˜†πŸ˜†
 
Umri wako?
 
Na Hii nayo ni ID Mpya , Ya zamani ipo wapi
 
Wale watafutwaji chambo hichoo πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
ni kweli ukifanya reverse image search hii picha imetumika sana fb na twitter kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…