unataka urithi mali zakee eee nyambaf!!!
Sio hivyo najua wa hivyo hatutasumbuana hilo tu..
Wengi wazushi hawajatuliaTafuta mtu wa rika lako au mliyeachana umri kidogo...mwanaume wa umri huo si ni baba yako kabisa huyo!!!!
kwani kuna tatizo gani mbona nyie mnapendaga mteremko na kulelewa sana tu bhanaUnataka fedha zake za kiinua mgongo na fao la kujitoa huna lolote.
Unataka fedha zake za kiinua mgongo na fao la kujitoa huna lolote.
Wengi wazushi hawajatulia
awe mwajiriwa wa ofisi/shirika la serikali ambaye ni ofisa haijalishi kitengo lakini itapendeza kama ni wale wanaofuatwa na DFP AU STK/STL
wewe umetumika mileage ngapi?au hujaguswa wewe?Huyo au hao waliokuzalisha watoto wawili walikuwa na STL/STK? Mimi pia ninafuatwa na gari lakini natafuta mwanamke lakini sio waliotumika extra mileage na kuzalishwa watoto.
esm, kuna walakini hapo kwenye misikiti na makanisa. Kwa nini hupataki?...ndoa ya serikali tuu kanisani msikitini hapana
Hapa napo! Huyo wa miaka 54 kabakisha mwaka mmoja astaafu kwa hiyari, kwa hiyo unataka kulea mstaafu? Huyo wa 58 kama ni kwa hiyari basi kishastaafu, kama ni kustaafu kwa mujibu wa sheria kabakisha mvua mbili. Assume anataka mzae, mtalea wajukuu?...awe na miaka kuanzia 54 hadi 58
Hapa napo kichwa kinauma. Wanaoendesha magari yao wenyewe hawana nafasi? Kumbuka, hiyo STK/L, DFP itamfuata kwa miaka miwili tu huyo wa 58, then anastaafu. Kwa kuwa utampendea DFP then akisfaatu what happens? Kumbuka una miaka 32 tu!.. lakini itapendeza kama ni wale wanaofuatwa na DFP AU STK/STL ...
Hili la mwisho naona liko sawa sina hoja nalo....ambaye hana mke kwa sasa na kama ana watoto wasizidi watatu ili tukichanganya na wakwangu wawili wawe jumla watano.nawasilisha
Matokeo ya utumikaji wa muda mrefu mrefu wa M huwezi linganisha na wa K.wewe umetumika mileage ngapi?au hujaguswa wewe?
1.Msikitini/Kanisani ..wengi walioenda huko saa hizi ni majanga yamewasongaesm, kuna walakini hapo kwenye misikiti na makanisa. Kwa nini hupataki?
Hapa napo! Huyo wa miaka 54 kabakisha mwaka mmoja astaafu kwa hiyari, kwa hiyo unataka kulea mstaafu? Huyo wa 58 kama ni kwa hiyari basi kishastaafu, kama ni kustaafu kwa mujibu wa sheria kabakisha mvua mbili. Assume anataka mzae, mtalea wajukuu?
Hapa napo kichwa kinauma. Wanaoendesha magari yao wenyewe hawana nafasi? Kumbuka, hiyo STK/L, DFP itamfuata kwa miaka miwili tu huyo wa 58, then anastaafu. Kwa kuwa utampendea DFP then akisfaatu what happens? Kumbuka una miaka 32 tu!
Hili la mwisho naona liko sawa sina hoja nalo.