Natafuta mume miaka 54-58

Sio hivyo najua wa hivyo hatutasumbuana hilo tu..

Sasa kwanini useme anaefuatwa na DFP, AU, STK, STL Kamahutafuti makaratasi.

We unafuatwa na nini hebu funguka............
 

Somehow!
Ila nahisi una mengi zaidi ya hayo. Kila la kheri
 
Huyo au hao waliokuzalisha watoto wawili walikuwa na STL/STK? Mimi pia ninafuatwa na gari lakini natafuta mwanamke lakini sio waliotumika extra mileage na kuzalishwa watoto.

Mimi nimetumika siku tatu tuu... Nadhani nitakufaa..!
 
hahahaha,unataka mapenzi au wataka mali,unataka umpate mwanaume wa umri wa kukaribia kustaafu,ili umrestishe in PEACE.Upate urithi,karagabaho tafuta chako na wewe
Unamaanisha watu wakistaafu wanakufa?hawatakiwa kupendwa na kulelewa?mi si muuaji na sijawahi waza biashara ya ku-RIP...

Azote....THINK LIKE AMAN!
 
Mimi nimetumika siku tatu tuu... Nadhani nitakufaa..!

He don't know ones woman used to him can be a treasure to nxt man!haya huyo hapo wa siku tatu mie wa miaka 800 niteme
 
Unataka wa kula naye pensheni. Kuchuma wachume wengine, kula ule wewe!!
 
Unamaanisha watu wakistaafu wanakufa?hawatakiwa kupendwa na kulelewa?mi si muuaji na sijawahi waza biashara ya ku-RIP...

Azote....THINK LIKE AMAN!
si unamuwahisha,wewe huna mapenzi hapa unaangalia pesa tu,huna lolote miaka 32 unataka zee la miaka sawa na baba yako,
 
chardams..umevuka kidogo ngoja nikikosa kabisa wa taget yangu i'll thnk bout you.

I'll be waiting, meanwhile think of contract signing should it happen that tumefikia uamuzi wa kuwa pamoja.
 
si unamuwahisha,wewe huna mapenzi hapa unaangalia pesa tu,huna lolote miaka 32 unataka zee la miaka sawa na baba yako,
Mtoto uliyemzaaa...usiyemzaaa.....unalijua hilo mwenzangu?
 
Utakuwa umetumwa na sangoma/mganga...au unatafuta urithi kwa watoto wako wapate kihamba angalao...Hunipati ng'ooo,acha nibaki single hivihivi!!
 
Hivi heee.....M INASINYAAAAAA na K INABANAAAAA Haaaa haaaaaaaaaaa
Mzee mwenzangu mara ya kwanza sikutaka kukuambia tu, ni kinyume chake, M inazidi kuwa imara wakati K hulegea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…