Natafuta mume mkristo

Blue Colour

Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
52
Reaction score
66
Wapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi.
Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu.
Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani.
Nimhitimu katika chuo cha veta.
Tofauti na hapo napambana na life.
Mimi ninatafuta mwanaume ambaye tutaishi vyema.
Tupendane nakusikilizana.
Tushauriane na kuwaza maisba.
Mimi nipo serious sana katima hili .
Elimu ni muhimu kwangu kwa sababu lazima uondoe ujinga.
Kazi pia ni muhimu awe nayo.
Umri ni 34- 38 naomba waje walioserious.
Kama mimi kwani nipo serious kiasi cha userious.
Nanimwanadada ninayejitambua nanina hitaji chaguo jema.
Kama upo serious unajua huu ndio muda wako sahihi wakuwa nafamilia njoo tuyajengee.
Nipo northzone.
 
Una mtoto?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…