Natafuta mume mkristo

Weka namba ya simu sasa
 
Kwa hiyo sisi wala tende na kahawa hututaki? Ungejua sisi twaoa mke zaidi ya mmoja ati?.
Hizo ni shida zenu zangu mie za mme mmoja mnajaza watoto wawatu kama mnawaweza mwishoe mnawatekeleza sasa ulioa wengi ya nini kazi miisifa tu misiwataki.
Bora single kushinda kuolewa mke wa pili..
 
Kama ndoa ni kazi nzuri bas kakae karbu na ikulu wew ungesema unataka mme bas mwenye tabia njema hayo mengine majariwa mfano amekuoa anakaz nzur halafu akapata ulemavu akatimuliwa kazni maana yake unatafuta mwingine mweny kaz hahahahah utahahah sna utaishia kupata matapel kama alie kutoa vign yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyenitoa bikra nimemkata mimi ujue sio kanikataa kwa hiyo do not judge very soon God will provide for me a good husband something i really need jamani.
Nasio lazima humu umenielewa stop.kujinadi because unaforce things which someone will not change.
Mtu usimpangie maisha yake atakavyoishi .
Huwezi kuolewa na mtu kinyume na matarajio yake.
Kama napenda hivyo nitapata hivyo kama sipendi hivyo Mungu atanipa hivyo.
So niache kama diamond niache.
 
Ungeweka na kapicha tangazo lingevutia zaidi na lingetoa hamasa zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…