Natafuta mume Mkristu

Mimi ni mchaga mwenzako wa Rombo ila sio mkristu. Nije pm tuyajenge ?
 
vigezo vyote nnavyo kasoro umri tu nna miaka 29 na miez 10 yaan nimebakiza miez miwil nibebe mke[emoji24][emoji24]
 
Mkiwapata muwe mnaleta mrejesho ili wengine tusiemdelee kufanya application wakati nafasi zimejaa
 
mmarangu - mhanjo!!!!!...weupee...utafikiri wamezaliwa pamoja
 
Uliposema tu umeokoka unampenda Yesu nikaahirisha kusoma tangazo mpaka mwisho.

Tulia kwa Yesu tu huwezi kugawanya upendo kwa yesu na mume.
 
Omba sana, pambana maana umri huo wenye kazi wengi wana wake zao. Ungesema asie na kazi kama ww ili muanze kupambana utlist ungeongeza wigo.
 
Tulizo la moyo wako hili hapa we nibeep Tu kwa 0717391502 niko politely Sana Na utayari nakusubr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…