Natafuta mume msomi mwenye miaka kuanzia 40.

Kwanza malizana na ndoa yako.....

Usinikumbushe Dokta Slaa na Josefina na yule mwingine wa Dodoma na mumewe Josefina, mpaka leo kasheshe.

Ushauri mzuri huo.
 
you get me sooo well Lira! kisses


 

Halafu wanachapa kimoja tu usingizi fofofo!!
Ni sawa na kupokea mshara bila kufanya kazi!!
 
mmmh! ,ahoa nao wa miaka hiyo ni maplayers balaa,zoz they have money,nakushauri achana na huu n mpango wa kumatafuta mtu kwa njia hii maana upo uwezekano wa kupata fake materials za kutosha,kifupi ni kwmaba wengi watapretend!
 
mmmh! ,hao nao wa miaka hiyo ni maplayers balaa,zoz they have money,nakushauri achana na huu n mpango wa kumatafuta mtu kwa njia hii maana upo uwezekano wa kupata fake materials za kutosha,kifupi ni kwmaba wengi watapretend!
 

upo sawa wangu lara 1....ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…