Natafuta mume Muislam

Ummuu

New Member
Joined
Jul 29, 2021
Posts
1
Reaction score
7
Habarini.
Kichwa Cha habari kinajieleza.
Sifa zangu:-
-nina miaka 33
-nina mtoto mmoja Alhamdulilah.
-mpole,msikiv,mchesh.

Sifa za nimtakae:-
-kuanzia 34-45
-muslim
-ukiwa na watoto sawa na nitawalea vizuri

Nb:- kupima afya ni lazima hivo tutapima inshaAllah.

Karibu ewe laaziz tumalizie maisha pamoja kwa furaha na upendo.😍😍
 
Me hapo kwenye dini tu[emoji119] hivyo vingine nnavyo
 
Baba wa mtoto yu hai au kafariki?
Kama yu hai HAPANA!
Kama kafariki je kaburi li wapi?

Nina watoto nane kwa mama tofauti je upo tayari?
 
Dear niko hapa, sifa zote ulizotaja ninazo, mimi ni wako naomba tuwasiliane tuanzishe maisha mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…