Natafuta mume mwenye HIV positive status

cindyme

New Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1
Reaction score
3
Nina hitaji mwanaume wakujenga nae maisha mwanaume mwenye miaka kati ya 29-37,dini awe mkristo,awe na kazi au biashara,pia awe ni mtu alie serious kweli,endapo ana watoto asiwe na watoto zaid ya wawil.
Mimi ni binti mwenye miaka 27 nina ishi na virusi vya ukimwi ,rangi yangu maji ya kunde,sio mrefu wala sio mfupi nipo wastan ,sio mnene wala si mwembamba nina uzito wa kilo 55,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna maisha hadi Sasa age yako above 30, na unataka uje kujenga na mwanaume? Nilitegemea useme unahitaji jamaa anayejua kugegeda aje akuzalishe ulee watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna maisha hadi Sasa age yako above 30, na unataka uje kujenga na mwanaume? Nilitegemea useme unahitaji jamaa anayejua kugegeda aje akuzalishe ulee watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
acha ujinga wewe, above 30 kitu gani wewe? unafikiri huto tumaisha Mungu amekupa kwa ajili ya kutukana wengine ambao hawana maisha? unaweza ukakosa maisha sasa hv na huyu akapata zaidi yako, muheshimu Mungu usidharau na kutukana watu, pole cindyme
 
Mie niko tayari mkuu japo siko positive na sina mtoto ila nimependa na kuvutiwa na ujasiri wako! Njoo tuyajenge mama usijali kuwa na HIV positive sio dhambi wala kosa ni matokeo tu ya mzunguko wa maisha.
Nimekupenda bure Cindy wangu.
Kwanza huko huko uliko pokea kiss langu mwaaaaahhh[emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cindy nakupa ushauri wa bure, acha kuhangaika huku mitandaoni badala yake ongea na viongozi wa klinik ya HIV uwaambie hitaji lako ,nina uhakika watakupatia mtu mwenye nia kama yako na utamridhia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna maisha hadi Sasa age yako above 30, na unataka uje kujenga na mwanaume? Nilitegemea useme unahitaji jamaa anayejua kugegeda aje akuzalishe ulee watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu huyu mdada kakosea wapi mpaka umpe maneno makali na magumu kiasi hiki?huoni kwamba anafaa kuigwa kwa kutambua hali aliyonayo na kuhitaji mtu mwenye hali kama yake ili aingie naye kwenye mahusiano?mwingine asingejiweka wazi angesema liwalo na liwe,.
Pole sana Dada, Mungu ni mwema atakujalia hitaji la Moyo wako,kikubwa ni kumtanguliza yy kwa kila jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimemjibu yeye kutokana na kile alichoandika, wewe umeaumia nini? we unauhakika gani kama anasema ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…