Natafuta mume mwenye umri kati ya miaka 33-36

vp kuhusu degree, kazi, nyumba, gari... sijui anaye care na blah blah zenu kibao mnazoletaga hapa....
Hahahahaha!
Awe na kazi nzuri, nyumba nzuri, gari nzuri, hela nzuri, anayejua to care vizuri, anayenipenda kwa dhati. .........

Blah blah blah sitaki kusikia
 
Npo mm ninamashamba ya kutosha.
Umeniwahi tu kutanganza.
Nakupataje labda maana pm ckufahamu mm.
 
kuolewa ni bahati siku hizi, naona unavoitafuta bahati kwa nguvu................
 
Mungu husikiliza kilio cha mja wake na hujibu kwa wakati anao ona inafaa kuwa mvumilivu na huku ukimwelekea muumba wako atajibu ombi lako
 
if your serious basi nakuombea MUNGU akubariki na akujalie sawa na haja za moyo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…