Natafuta mume mwenye upendo wa kweli

ranga80

Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
7
Reaction score
2
Mm ni msichana nimeajiriwa serikalini natafuta mume anayejua thamani ya mwanamke. miaka 35 - 45. akitokea Dar, Tanga, moshi, pwani na moro.
 
Mm ni msichana nimeajiriwa serikalini natafuta mume anayejua thamani ya mwanamke. miaka 35 - 45. akitokea Dar, Tanga, moshi, pwani na moro.
Huo umri na was was utakuwa unataka umsaidie kula hela yake ya penssion si vingnevyo [emoji81] [emoji81] [emoji81] akiku PM mzibua vyoo utaskia hoo samahan nishampata sasa Wadau angalien na penssion zenyewe kwa utawala wa magu itakuwa laki 5[emoji81] [emoji81]
 
Dah!!!! Nipo Mbulu Manyara ase,toa ata ofa basi
 
Halafu huu ni uzi cjui wa ngap uyu mdada anatafuta mume. ..ina maana toka mwaka juz we unatafuta tu hujapata? Au wote wanakula na kusepa?
 
Mm ni msichana nimeajiriwa serikalini natafuta mume anayejua thamani ya mwanamke. miaka 35 - 45. akitokea Dar, Tanga, moshi, pwani na moro.

YAANI TOKEA NIKUAMBIE NISUBIRI KWANZA NIKUCHUNGUZE NDIO UMEKUJA HUKU KUPOSTI UNATAFUTA MUME KWAMBA HURIDHIKI NA MAPENDO YANGU ?
 
Una umri gan ww kwanza.. make hata mm nina kigezo cha umri.. jipambanue vizuri.. kusema una kazi sio sifa ya kuipa kipaumbele kwa mwanamke,, jipambanue vzur zaid afu ndo ueleze sifa za unaemhitaji.. ili na yy aone km hzo sifa zako ataweza kuzihimili
 
Umri pekee na Mikoa kwako ndiyo kipaumbele?? Huyu atakuwa anatafuta mtu wa kumhamisha toka kijijini aliko kikazi kuja mjini.
 
Natafuta mke , ni pm basi tuya jenge
 
Reactions: lcm
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…