Natafuta mume mwenye VVU

Hii chai, siku hizi ni ukigundulika tu, hapo hapo unaanzishiwa dawa. So peleka huko chai yako
 
Hii chai, siku hizi ni ukigundulika tu, hapo hapo unaanzishiwa dawa. So peleka huko chai yako
Sio kweli ,unapogunduliwa huwa wanaangalia viral load , kiwango cha virusi ktk damu kama bado ipo chini hawezi anza dozi nakm ipo ju ndo unaanza dozi ..

Shortly inategemea na mtaalam wako kaona nn sahihi ,watu wa vijijin ndo sana wanaanzishwa hapo hapo wasokua nauhakika wa msosi na azoezi lkn pia ikiwa upo ktk mazingira ya kuambukiza wengine ndo unahamsishwa kuanza kuzitumia.
 
Mkuu hiyo ilikuwa enzi hizo, siku hizi ni Test and Treat.
 
Mbona upatikani
 
Kwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
sio kweli ukimwi ni ugonjwa mzuri sana. ukizingatia mashariti unaweza kuishi hadi miaka 30 au zaidi. hivyo kama una 29 saiz ukiongeza 30 utakuwa na almost 50 kama ni watoto walishakuwa wakubwa na kwa vile unajua status yako basi utakuwa umewandaa kabisa kwa kubaki bila shida
 
nikupe pole nyingi dada yangu. mi sijaathirika na nisingekuwa nimeoa ningekuoa mimi. maana siku hizi kuna vidonge ukimeza unasex vizuri tu na ukimwi hupati.
 
mm nimefanya sex zaidi ya mara 5000. na wanawake kama 50 nakumbuka nimetumia condom si zaidi ya mara 10. ukiniambia kuna ukimwi huwa siamini kabisa
 
Hakuna UKIMWI, kula vizuri, Fanya mazoezi na acha mawazo ya Ukimwi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…