Natafuta mume, nina miaka 24

Me ningekutafuta lakin wachaga kututoa manisha wanaume wenye vipato ni kugusa ...
 
Nione pm
 
Sifa zote ninazo isipokua mim ni mfupi. Kama bado haujapata na upo tayari kua na mume mfupi nicheki
 
kwann unataka mwanaume wa miaka 40 hadi 50 sisi wa 30 hututaki? au wazee wapo romantic
 
Nipo hapa mama njoo tuyajenge
 

Kabila gani wewe
 
Tumefikiwa
 
Nimefika hapaaaa
 
Nicheki
Nipo tayari vigezo ninavyo
 
Ako katoto kanajiandaa na pension za wanaune...siyo kwa umri uwo.
 
Mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na ni mwanaCCM. Nisubiri kwa miaka miwili ili nifikishe umri elekezi. Kwa sasa endelea kupeana tamu na hivyo vi-boyfriend vyako hapo Sakina.
 
Dini gani?
 
๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ฌ๐ก๐ข๐๐š ๐ฆ๐š๐ก๐š๐ฅ๐ข
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ