Natafuta mume, nina miaka 29

Natafuta mume, nina miaka 29

Mnaanza kua wapenzi kabla ya kufikia huko kwa mume dadaangu. Ni ngumu kuruka hiyo stage.

Lakini pia rekebisha post yako. Badala ya "mtt", andika "mtoto". Maana wakija wale jamaa wa humu, unaweza kujikuta unaiogopa simu yako mwenyewe!
 
Mmmh

 
Back
Top Bottom