Natafuta mume, nina miaka 29

Dah sawa tu πŸ˜…πŸ˜…
Ni kama ivi,nikichat nawe hapa watu wajua huyu tayari kachukuliwa...kumbe ni vituko vyangu tu na havina madhara...kiukweli nimechoka kulala pekeyangu 😊
 
Ni kama ivi,nikichat nawe hapa watu wajua huyu tayari kachukuliwa...kumbe ni vituko vyangu tu na havina madhara...kiukweli nimechoka kulala pekeyangu 😊
Tatizo umewafungia vijana PM, wanashindwa jinsi ya kukupata.

Mimi ngoja niwahakikishiee, Jimbo liko wazi, mwenye uhitaji aje kutupia ndoano.
 
Tatizo umewafungia vijana PM, wanashindwa jinsi ya kukupata.

Mimi ngoja niwahakikishiee, Jimbo liko wazi, mwenye uhitaji aje kutupia ndoano.
Wawe tayari na boga lake waambie
 
Hello,

Mimi ninamiaka 29, nina mtoto mmoja, najishughulisha na ususi.

Natafuta mume kuanzia miaka 30-70, awe na hofu ya Mungu, awe na upendo wa kweli, awe anajishughulisha.
Miaka 70 ili akuchie mali.
 
Sio kwa ubaya ila ungeanza kuweka tangazo hili hapo mtaani unapo kaa kwanza au mahali unaposhinda kila siku ingesaidia zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…