Natafuta mume tuoane

Naona watu wamekustai hawajakuponda kama dude moja lile lilo taka mwanaume wa master s na kama mfanya biashara awe na kipati cha 1.5m kwa mwezi kama alimsaidia mtaji,utapata tu Dada mi bado mdogo sana kwako
 
Picha tafadhari
 
Kuna mtu anasifabhzo namba zake ni 0786133416. Yupo tayari. Elimu ni MA.
 
Badilisha kichwa cha uzi wako,maana ninaona wewe umetafsiri kiingereza chako hapo ilhali hapa ni Tz.Tanzania mwanamke anatafuta mwanamume wa kumuoa na siyo kuoana kama ulivyodai!!!
 
Mimi nnachojua mwanamke anaolewa,na mwanamme anaoa,sasa wewe unataka muoane? Au wenye masters ndio wanaoana hawaolewi?
 
Wasabato watamzuia kujirusha kwenye mastarehe ya dunia labda awe msabato feki
 
Utakubali kuwa mke wa pili?? Utakubali kuwa suria wangu?? Nipo siriasi hapa sio utani. Ntakuchukua utakaa raha mustarehe. Naona huyu ananizingua siku hizi. Nikivuta mwingine mtashika adabu nyote. Tena nawaweka nyumba moja. Hata huyu ana kazi nzuri tu
 
Katika maelezo ya wanaotafuta ndoa humu,nimeona huyu dada yuko sireous,japo suala elimu ya mume nalo ni ishu,kama anataka mtafutaji,na hustkers wengi ni F4-6,huko juu wengi wanaangalia ajira zaidi,japo nayo ni sehemu ya utafutaji.
 
Mimi miongoni wale elfu tisa waliotumbuliwa sasa sina kazi. Je nitakufaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…