Natafuta mume tuoane

Unatafutaje mume wa kuona nae? Unataka kuwa mke wa ngapi? Kwa sab mwanaume hawezi kuitwa mume kabla hajaoa
 
Mimi mwislam na nakuhitaji. Niambie kama namini unaniweka kwenye hayo masharti.
 
Aiseee umejipanga kwa vigezo dah
 
Aise I hope ningekufaa shida ni huo unene wako na mimi mnene hapo sasa
 
Masters unatafuta mume???? Una matatizo wewe
 
Duh yani una miaka 37 hujaelewa unaonekana ww una matatizo na huwezi kukutania mwanaume wa umri wako hajaoa so unajisumbua tu me nakushauri fanya kama flora mbasha
 
Mwanamke hawezi kuoa bali huokewa. Sasa huko kuoa unakosema ina maana yeye mwanaume akimaliza kukuoa na wewe unamwoa??
 
Duh yani una miaka 37 hujaelewa unaonekana ww una matatizo na huwezi kukutania mwanaume wa umri wako hajaoa so unajisumbua tu me nakushauri fanya kama flora mbasha

Matatizo unapima kwa kuchelewa kuolewa??

Na je umefanya utafiti wanaume wa umri huu wote wameoa?? au watumia tu mawazo yako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…