Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
- Thread starter
-
- #261
Kama ulienda shule basi rudi tena ukarisiti!!!Mwanamke hawezi kuoa bali huokewa. Sasa huko kuoa unakosema ina maana yeye mwanaume akimaliza kukuoa na wewe unamwoa??
Kwa sababu ni WASABATOKwanini unawakataa wasabato
Mkuu,umesha mpata?Kama ulienda shule basi rudi tena ukarisiti!!!
Inaelekea ulizungusha kama Bashite. Hata kiswahili tu kinakushinda!!
Nshaokoka kwaajili yako, nasali kwa Gwajima!!Ukiokoka nishitue
Mkuu,umesha mpata?
Kama vp ni pm namba zako za watsap . .maana vigezo ninavyo
Dada umefanikiwa...Ahaaa nshapata bwana watano!!
nimechukua yale ya kitabu three suitors ome husband!! mi nimefanya watano.
daaah nina 36 net. plz nisubiri mwaka mmoja miaka itimie vigezi vingine ninavyo umri tu ndy bado mwaka mmojaSalama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Kuna changamoto kubwa sana kuishi na wanawake walio Soma.
Akazae tena sasa anatafuta wa kuolewa nae wa nini??Angalau ulifanya la maana kuzaa, kuolewa ni majaliwa.