Natafuta mume tuoane

Ulishapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavigezo kama ww ndio waoaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri dada yetu. Ila ukiona siku zinayoyoma, jaribu kulegeza masharti japo kidogo. Issue sijui za unene, kuajiriwa etc are temporary and could change any time...
Masharti lazima yawepo, yaani ni heri kuwa singo kuliko kuolewa ili mradi eti nimeolewa.

By ze way nilishampata nayeona ananifaa kuishi nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ni zaidi ya mapenzi ya dhati.

Ndoa ni maisha.

Unaweza ukapendwa kwa dhati lkn mkashindwa kuelewana mitazamo na kwenye mipango mbalimbali kwasababu ya tofauti ya elimu. Mwisho mkawa mnalumbana ndani ingawa mnapendana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimekupenda kutokana na vigezo mimi mkristu, 32 age, mwajiriwa serikalini, elimu bachelor, nimezaa na wadada watatu tofauti hivyo Nina watoto watatu wapo kwa bibi yao kama uko tayari kwa hilo na Mimi nipo tayari mshahara wako ni non of my business utajua mwenyewe utakavyotumia ila Mimi mahitaji yote ya familia kama baba/mme hayatanisumbua
 
Ila inaonekana unaelewa kuhusu maisha, kwa nini hujapata mume mpaka umri huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…