Natafuta mume, umri kuanzia miaka 30

Mkuu hii kitu niya 2016, kwani inawezekana miaka mitano yote bado hajapata???
Tatizo hawaletagi mrejesho kama wamepata au la!😁
Mungu akupe haja ya moyo wako mpendwa.
 
Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu.

Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30.

Mwenye nia ya dhati aniPM.
Njoo inbox
 
Mungu asikie kilio chako na akujibu kwa kadiri ya mapenzi yake.
 
Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu.

Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30.

Mwenye nia ya dhati aniPM.
Njoo inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…